Brother Mo Dewji, seriously??

Kuna ubaya Gani mbona weusi mnakuwa na Sherehe zenu na Wahindi hawalalamiki? Mtu mweusi kila Siku kulazimisha usipotakiwa.
 
Unapofungua macho sanaaaa ukategemea utaona vizuri muhali ukajikuta unaona kweli kama dhamira ilivyo lakini ni katika nafasi hiyo hiyo wadudu watatumia kujipenyeza katika mboni zako, aidha upepo nao utaingia kwa wingi kwakuwa uwezo wa kope kupunguza au kuzuia wingi wa upepo hautakuwapo tena.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mengi alivyofariki sijaona hata picha wala caption yoyote kwenye account zake za S/media hawa jamaa siwapendi kama nini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa ninwabaguzi sana hata usikie wamezaliwa singida sijui kigoma Ila uhindi wao wanauthamini kuliko chochote ndio maana huwa hatuna intermarriage nao.
 
Hawa majamaa wanatuona sisi ngozi nyeusi ni matakataka tu hata tusome vipi.

Kiufupi jamaa hiyo picha kibiashara imeharibu jina lake si kwa Afrika tu bali ulimwengu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…