Brn,expand

Mkuu, sometime uwe serious... especially kwenye mambo makubwa kama BRN

the document you attached has nothing to do with BRN, it is a social media krapp

Kuna haja ya wewe kujifunza ili ujue BRN ni nini na kazi zake ni zipi... BRN cannot add IQ into your brains or do homeworks for or even make sure that akili zako zinaongezeka just by typing BRN
 
Janjaweed unajua maana ya BRN?

Na wewe umeshakuwa muathirika maana umendika kizungu humohomu na kiswahili,
 
teh!. teh!. teh!. teh
Kuna Kila Ya Sababu Ya Kuanza Kutumia Lugha Ya Taifa Kwenye Elimu Yetu.Other Languages Are Very Very Confusing!
 
Huyu Issa na genge lake wanakula mishahara ya $ lakini BEST RESULTS NOW matokeo yake ndio hayo; kesho watafanya semina huko Mlimani city kujisifu kuwa wameweza!!!! You are fleecing our country!!.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, ukiwa na toto kama hili ni kuliuza kwa wavua samaki tu
 
Uuuuwiiiiiiiii nimecheka sana waliokuwa karibu yangu wamenishangaa ila mbavu sasa zinaumaaaaa.
 
Marire

Hiyo karatasi ipo mtandaoni siku nyingi sana na haina uhusiano wowote na BRN.

Labda ni yule mwanao wa kidato cha pili uliyenambia unashindwa kumjibu maswali yake.
 
Last edited by a moderator:
Marire

Hiyo karatasi ipo mtandaoni siku nyingi sana na haina uhusiano wowote na BRN.

Labda ni yule mwanao wa kidato cha pili uliyenambia unashindwa kumjibu maswali yake.

Kwa hiyo we ajuza ikiwa ipo mtandaoni siku nyingi unadhani kila mtu ana muda wa kushida huko kaa wewe?
Kuna wengine hawajawahi kuiona hii makitu yaliyoletwa na.ccm we kikongwe
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo we ajuza ikiwa ipo mtandaoni siku nyingi unadhani kila mtu ana muda wa kushida huko kaa wewe?
Kuna wengine hawajawahi kuiona hii makitu yaliyoletwa na.ccm we kikongwe

Wacha uongo BRN ina uhusiano upi na huo ujinga uliouleta?

BRN inawauma sana mioyoni mwenu. Matokeo mnayaona.
 
Jamani ina maana huyu hakufundishwa au ndio amekutana nayo siku hiyo
 
Janjaweed unajua maana ya BRN?

Na wewe umeshakuwa muathirika maana umendika kizungu humohomu na kiswahili,

Naijua BRN, nimesoma ripoti zao, nimefuatilia origin ya BRN na hata hizo modifications walizofanya kuwa relevant kwa TAnzania (ingawaje napinga baadhi ya approaches).

Kuhusu lugha, sidhani kama ni tatizo, tupo barazani tunaweza kuchanganya na kumix tutakavyo, cha maana ni kujenga tabia ya kujifunza kabla ya kulamba terminologies na kuzitapika bila kuwa hata na depth ya upeo wa nini tunachobwabwaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…