Yaani mnada wa Dar ukianza tunauza chai yetu TZ ya Rwanda,Burundi, ya Malawi nk...wadau hasa wakulima wadogo wa Mufindi, Njombe, Rungwe na tea factories kv brooke bond, Mufindi Tea, nk wanalalamika chai kuuzwa Mombasa inawakosti zikiwemo gharama za usafirishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikakujibu hivi... Nikimaanisha kipindi dola ya rumi inatawala kulikuwa hakuna taifa la UK bado.Mkenya amepatana na mteja wa majani chai yake. Haya mambo ya mkoloni miaka hamsini baadaye ni ushamba flani hivi wa hali ya juu. Hivi unajua kwamba muitaliano alikuwa mkoloni wa muingereza milenia iliyopita chini ya 'empire' ya Roma?
ukajibu hivi;Alikuwa hajawa muingereza bado
historia ya nchi yangu imefanya nn hivi;Nyinyi hapo mlikuwa watanzania wakati mkoloni alipokuwa anawasili Afrika? Hujui hata historia ya nchi yako?
Nadhani hata mwenyewe hukuelewa vitu unavyojibu,ukajibu hivi;Historia ya nchi yangu inahusiana nini na mambo ya Rome and UK?
nikakwambia hivi;Sijui.
Maoni yangu; Tz inakukereketa sana...naishia hapaKuiwaza tz kila wakati kunakufanya uchanganye mambo.
Kuanzia mwaka huu chai ya Tz haitoletwa Mombasa. Mnada utapigwa Dar es salaam na chai za Burundi na Rwanda zitaanza kuuzwa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mufindi Tea factories zenyewe zinamilikiwa na wakalenjin wa Kericho,,,Yaani mnada wa Dar ukianza tunauza chai yetu TZ ya Rwanda,Burundi, ya Malawi nk...wadau hasa wakulima wadogo wa Mufindi, Njombe, Rungwe na tea factories kv brooke bond, Mufindi Tea, nk wanalalamika chai kuuzwa Mombasa inawakosti zikiwemo gharama za usafirishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu mnafiki kama huyo
Laiti wangejua kuwa alisema mtu mweusi ni kama Tikiti linacheka (akimaanisha mdomo mwekundu)
Wala msingemshobokea
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ni uelewa wako finyu ama Ni education system ya Tz bogus.Historia ya nchi yangu inahusiana nini na mambo ya Rome and UK?
Acha kuendekeza ukabila, Wakalenjin wa Kericho ndio kina nani! Sema zinamilikiwa na Wakenya...Mufindi Tea factories zenyewe zinamilikiwa na wakalenjin wa Kericho,,,
UK haikuwepo enzi za Roman empire....hakukuwa na tz kipindi wakoloni wanafika... Bogus mwenyeweNi uelewa wako finyu ama Ni education system ya Tz bogus.
Biashara unafanya na mtu yeyote regardless anakuitaje au anakuonaje. Ungejua USA na UK (au hata Australia na UK) wanaitanaje sijui ungeandika nini hapa.
Anyway; ndio roho mliyopandikiziwa na jiwe (aliepiga marufuku kuingiza maziwa ya Brookside akidhani anamkomoa Uhuru).
PMSawa
Sent from my iPhone using Tapatalk
80% inatoka Kwa small scale growers,,,,Majority of tea growers in Kenya are white people and that is why the UK PM pleases Kenya!PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Majority of tea growers in Kenya are white people and that is why the UK PM pleases Kenya!PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, wakulima wadogo wadogo ndio huwa wanazalisha asilimia kubwa ya majani chai ya Kenya.80% inatoka Kwa small scale growers,,,,
LOL the worshipping of all whites indoctrination in your heads you people is amazingYeye mwenyewe kama prime minister ndiye amesema sasa unapinga nini?
LOL unavyojitapa utafikiri hata hayo mashamba ya chai mnayamiliki ninyi! Mashamba yenyewe ya mkoloni wenu na faida 90% ni ya mkoloni wenuMkenya amepatana na mteja wa majani chai yake. Haya mambo ya mkoloni miaka hamsini baadaye ni ushamba flani hivi wa hali ya juu. Hivi unajua kwamba muitaliano alikuwa mkoloni wa muingereza milenia iliyopita chini ya 'empire' ya Roma?
Kuanzia mwaka huu chai ya Tz haitoletwa Mombasa. Mnada utapigwa Dar es salaam na chai za Burundi na Rwanda zitaanza kuuzwa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app