mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,158 Reaction score 816 Jul 27, 2014 #1 Haya jamen hao jamaa wametangaza kazi - program manager - walimu ndo wamelengwa hasa , lakini uwe uko vizuri kimombo tena sana, haya kazi kwenu maticha kwa info zaidi cheki website yao ,
Haya jamen hao jamaa wametangaza kazi - program manager - walimu ndo wamelengwa hasa , lakini uwe uko vizuri kimombo tena sana, haya kazi kwenu maticha kwa info zaidi cheki website yao ,
mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Jul 28, 2014 #2 Nipe webste yao
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,686 Reaction score 112,598 Jul 29, 2014 #4 Hivi nyinyi viumbe wazembe google kwenu mnaitumia kwa kazi gani? eti ooh weka link nyambafu kabisa.
K kinyangesi JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 247 Reaction score 86 Jul 29, 2014 #5 Matola acha uzembe wa kufikiri, hujui utaratibu wa humu? Unaweka tangazo na link yake ndo inavyokuwa, hiyo Google unaleta upya usio na maana
Matola acha uzembe wa kufikiri, hujui utaratibu wa humu? Unaweka tangazo na link yake ndo inavyokuwa, hiyo Google unaleta upya usio na maana
mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,158 Reaction score 816 Jul 30, 2014 Thread starter #6 kinyangesi said: Matola acha uzembe wa kufikiri, hujui utaratibu wa humu? Unaweka tangazo na link yake ndo inavyokuwa, hiyo Google unaleta upya usio na maana Click to expand... Google ndo kila kitu, hio job nimeiona kwa gazeti, haikuwa na link zaidi ya po box, hivo ukitaka kijua vizuri itakuwa poa sana uki-google..
kinyangesi said: Matola acha uzembe wa kufikiri, hujui utaratibu wa humu? Unaweka tangazo na link yake ndo inavyokuwa, hiyo Google unaleta upya usio na maana Click to expand... Google ndo kila kitu, hio job nimeiona kwa gazeti, haikuwa na link zaidi ya po box, hivo ukitaka kijua vizuri itakuwa poa sana uki-google..
Tuya JF-Expert Member Joined Aug 30, 2008 Posts 312 Reaction score 79 Jul 31, 2014 #7 ukiambiwa sehemu fulani wametoa nafasi za kazi inatosha kabisa usisubiri kuwekewa link namtu jamani nenda kagoogle. Mwenyewe .
ukiambiwa sehemu fulani wametoa nafasi za kazi inatosha kabisa usisubiri kuwekewa link namtu jamani nenda kagoogle. Mwenyewe .