Britain under pressure to review £200 million aid for Tanzania after US cuts support

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
The UK Government was under pressure on Saturday to review British aid worth £200 million after an African country staged a widely condemned election.

A former cabinet minister warned against “spraying money around” simply to ensure that Britain kept the United Nations target of spending 0.7 per cent of national income on overseas aid.

The row focuses on Tanzania where the government has been accused of rigging elections on the island of Zanzibar, leading the opposition to boycott the latest poll.

This week, America accused Tanzania’s government of a “pattern of actions” that undermined democracy and cancelled aid worth $472 million (£331 million).

This placed pressure on Britain to do the same, especially in the wake of widespread concern over the use of the aid budget for controversial projects.

But the Foreign Office told the Telegraph there was no decision to reduce Britain’s support for Tanzania even though Zanzibar’s election had not reflected the “will of the people”.

Owen Paterson, the senior Conservative backbencher and former environment secretary, said that DFID should reduce its aid to Tanzania in line with the US decision.

“The Foreign Office says the election is not valid and we’re carrying on spending the money anyway. This cannot be right,” said Mr Paterson.

“The Americans have acknowledged that this cannot be right and have acted – and we should act accordingly.” said Paterson

Source: The Telegraph
 
Inashangaza siku mbili zilizopita tuliambiwa UK imekata misaada kwa Tanzania kumbe ulikuwa ni uwongo!

Don’t bet on it, UK na Marekani wametoka mbali na huwa wanashikamana kwenye maslahi lakini kumbuka pia kuna nguvu za makampuni katika diplomasia ya Tanzania kama Exxon Mobil, BG Group na Norway´s Statoil ambayo yamewekeza pesa nyingi nchini kwenye gas achilia mbali yale ya madini kama ACACIA. Baadhi ya haya makampuni yanalipa pesa nyingi kama kodi nchini UK na kwa maana hiyo, yanakuwa na bargaining power katika meza ya maamuzi katika serikali ya UK. Kuendelea kuwepo kwa haya makampuni nchini unafuta uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo vya kiuchumi. Ieleweke kuwa kukata misaada ni tofauti na kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

This is diplomatic war between USA and UK, bear also in mind, the relationship between Obama administration and UK government under Cameron have been strained since the President criticized the UK Prime Minister for getting distracted during the crisis in Libya and turning it into a shit show.

Kwenye sakata hili tutaona na kusikia mengi kadri viongozi wa Western Countries wanavyomtingisha Rais Magufuli ili wafahamu msimamo wake kiuchumi.
 
Inashangaza siku mbili zilizopita tuliambiwa UK imekata misaada kwa Tanzania kumbe ulikuwa ni uwongo!

Don’t bet on it, UK na Marekani wametoka mbali na huwa wanashikamana kwenye maslahi lakini kumbuka pia kuna nguvu za makampuni katika diplomasia ya Tanzania kama Exxon Mobil, BG Group na Norway´s Statoil ambayo yamewekeza pesa nyingi nchini kwenye gas achilia mbali yale ya madini. Baadhi ya haya makampuni yanalipa pesa nyingi kama kodi nchini UK na kwa maana hiyo, yanakuwa na bargaining power katika meza ya maamuzi katika serikali ya UK. Kuendelea kuwepo kwa haya makampuni nchini unafuta uwezekano wa Tanzania kuwekewa vikwazo vya kiuchumi. Ikumbukwe kuwa kukata misaada ni tofauti na kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.

This is diplomatic war between USA and UK, bear also in mind, the relationship between Obama administration and UK government under Cameron have been strained since the President criticized the UK Prime Minister for getting distracted during the crisis in Libya and turning it into a shit show.

Kwenye sakata hili tutaona na kusikia mengi kadri viongozi wa Western Countries wanavyomtingisha Rais Magufuli ili wafahamu msimamo wake kiuchumi.

..u r 100% correct.

..Marekani na Uingereza wanaweza kuwa wanakupiga vita lakini bado makampuni yao yakaendelea kuwekeza nchini kwako.

..kwa mfano, wakati vita vya Angola[mpla vs unita], serikali ya Marekani ilikuwa inasaidia unita[waasi], wakati exxon mobil wanachimba mafuta cabinda na uwekezaji wao ndiyo una-finance war chest ya mpla[serikali]. wakati huo huo majeshi ya cuba ndiyo yalikuwa yanalinda visima vya mafuta vya serikali ya angola.

..jambo lingine nadhani tunafanya makosa kwa kujikita kuona ni nchi gani zitatuwekea vikwazo, na athari za vikwazo hivyo. hali hiyo ni sawa na kuangalia tulipoanguka badala ya wapi tumejikwaa.

..tukubali kwamba tumeboronga ktk uchaguzi marudio wa znz. tunachotakiwa kufanya ni kuchukua hatua ambazo zitashawishi nchi wahisani kuona kwamba tunatafuta suluhisho la kudumu la mgogoro wa znz.
 
JokaKuu nadhani unafahamu mzizi wa tatizo la Zanzibar.

Tatizo la Zanzibar siyo itikadi za kisiasa bali ni ubaguzi lakini vile vile kumbuka hatujaboronga katika uchaguzi huu tu, tumeanza kuboronga siku ambayo tulituma wanajeshi zaidi ya 300 ili kutoa ulinzi kwa Amani Karume na hapo hapo tukaamua kuungana na katika maisha yote ya muungano kabla ya vyama vingi, tumeshuhudia matatizo mengi.

Wakati Tanzania Bara wanaongelea Marais watano, Zanzibar imekuwa na Marais saba.

Nchi za Western zinachofanya ni kutumia matatizo haya kama opportunity katika ku-set agenda zao za kiuchumi ili ziwanufaishe.

Kuna mahojiano yalifanywa na Maalim Seif ambayo ukiyachunguza utaona hali halisi ya matatizo ya Zanzibar. Maalim Seif alinukuliwa akisema,“Kabla Kikwete (Rais Mstaafu Jakaya Kikwete) hajaondoka madarakani, aliniambia kuwa Maalim CCM wanakuogopa, wanajua ukishinda utaweza kuvunja Muungano, lakini nilimwambia, CCM ndio wenye jeshi, wenyewe ndio wenye dola mimi nitavunjaje Muungano’’.

Kama haya maelezo ni kweli basi yanatoa picha kuwa Rais wa Tanzania/Mwenyekiti wa CCM Taifa hana nguvu lilopokuja suala la Zanzibar. Kuna nguvu zaidi ya Rais ambazo zinafanya maamuzi kuhusu hatima ya Zanzibar.

Suala la kujiuliza, kina nani zaidi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania ndani ya CCM ambao wanaogopa Maalim Seif kuwa Rais wa Zanzibar kwa sababu atavunja Muungano? Au chenye nguvu ni ''Kitengo'' kilichokuwa kinasemwa na Mzee Kingunge ambacho tunaambiwa ndicho kinachofanya hata maamuzi kuhusu mgombea Urais wa CCM.

Kumbuka kwa kiwango kikubwa CCM bado ni chama dola kama ilivyokuwa kwenye siasa za chama kimoja!
 
Mnahangaika sana, wengine wanasema hatutaki misaada tena, wengine wanasema sisi ndiyo tumekataa misaada, wewe unasema uingereza haijakata misaada, hebu nendeni mkae pamoja mje na kitu kimoja kinachoweza kujadiliwa
Hata wewe utakuwa unahangaika kwa sababu kama umeweza kusoma hoja zote ulizozitaja na kutoa comment, basi utakuwa umehangaika sana!

Kwa nini usisubiri tu wakaja na hoja moja ili uchangie badala ya kuhangaika kuzisoma hoja nyingi za wahangaikaji?
 
Kina kitu ambacho hakijaeleweka vizuri hapa. Msaada uliositishwa ni ule ambao UK inachangia kwenye bajeti ya Tz kwa kushirikiana na nchi zingine wafadhili (kwa utaratibu wa multilateral agreements). Misaada inaotolewa moja kwa moja na kusimamiawa na serikali ya UK kwa ajili ya kufadhili miradi (hasa ya kijamii) ndio inayozungumziwa kwenye hii story ya gazeti la Telegraph. Kadhalika, misaada inayotolewa na serikali ya Marekani nje ya utaratibu wa MCC kama inayofadhili miradi ya afya/ukimwi haiyaguswa. Hii inahusisha pia misaada ya moja kwa moja kutoka kwa wafadhili wengine (kwa utaratibu wa bilateral agreements).
 
Marekani na jumuiya ya ulaya wote ni wanafiki hawana lolote ndio maana Korea na washirika wengine hawa patani kabisa.
Wamekuwa wakilinda maslahi yao na pale wanapoona maslahi yao yanaingiliwa wanajidai kutoa vitisho .

Mimi ninauliza kwanini wanashupalia uchaguzi wa Zanzibar Je huu wa Tanzania bara ulikuwa wa haki kama ndio basi uchaguzi wa marudio Zanzibar ulikuwa wa haki waache unafiki.
 
Tanzania itakuwa nchi ya viwanda Na uchumi wa kati sasa mnababaika kwa nn
 
Kina kitu ambacho hakijaeleweka vizuri hapa. Msaada uliositishwa ni ule ambao UK inachangia kwenye bajeti ya Tz kwa kushirikiana na nchi zingine wafadhili (kwa utaratibu wa multilateral agreements). Misaada inaotolewa moja kwa moja na kusimamiawa na serikali ya UK kwa ajili ya kufadhili miradi (hasa ya kijamii) ndio inayozungumziwa kwenye hii story ya gazeti la Telegraph. Kadhalika, misaada inayotolewa na serikali ya Marekani nje ya utaratibu wa MCC kama inayofadhili miradi ya afya/ukimwi haiyaguswa. Hii inahusisha pia misaada ya moja kwa moja kutoka kwa wafadhili wengine (kwa utaratibu wa bilateral agreements).
Hakuna uamuzi kama huo labda uwe umefanyika leo!

Kama huo uamuzi upo, naomba official statement ya Development Partners Group (DPG) Tanzania kwa sababu ni kawaida yao kutoa official statement kila wanapofanya uamuzi unaoligusa taifa kama walivyofanya kwenye kadhia ya Tegeta Escrow Account.

Hizo zilikuwa ni story tu ambazo baadhi ya watu waliamua kuzitunga na kuziweka kwenye media.
 
MsemajiUkweli
Don't panic unapoleta. mada unataka ijadiliwe na ndivyo tufanyavyo
Usitegemee uonavyo wewe sawa basi wote tukubaliane na wewe
Mkwepaji Kodi yu sahihi
Mkuu Kivava sijawahi kupanic katika jukwaa hili tangu nijiunge na sitegemei kupanic katika maisha yangu kama mwanachama wa Jamiiforums!

Usahihi wake ni upi?

Nisaidie kunielimisha!
 
Kumbe nimegundua kuna watu humu ni kizazi cha watumwa walioachwa zanzibar maana wengi ni akili ya kupewa misaada , tunavyolia lia na hii misaada tungekuwa tunalia hivyo kwa kufanya kazi mbona tungekuwa mbali , Magu kaisha amua hatuitaji hizo pesa tutazipata wenyewe kwa kufanya kazi , sisi tutatoa misaada kwao
 
Marekani na jumuiya ya ulaya wote ni wanafiki hawana lolote ndio maana Korea na washirika wengine hawa patani kabisa.
Wamekuwa wakilinda maslahi yao na pale wanapoona maslahi yao yanaingiliwa wanajidai kutoa vitisho .

Mimi ninauliza kwanini wanashupalia uchaguzi wa Zanzibar Je huu wa Tanzania bara ulikuwa wa haki kama ndio basi uchaguzi wa marudio Zanzibar ulikuwa wa haki waache unafiki.
Kwa maelezo zaidi kuhusu demokrasia inayohubiriwa na Marekani unaweza kusoma hii thread/mada;
 
Britain must not abandon Zanzibar in the hour of need. Britain must cut aid to Tanganyika. We are ready and willing to suffer short term pain for long term democratic gain.
 
Mi nashangaa watu wanaongelea ya zanzibar tu kuboronga uchaguzi,wakati hata lowassa ameporwa ushindi wake.Lakini bahati nzuri malipo ni hapa hapa duniani,wale viongozi wa sekta mbalimbali waliosaidia kupora uchaguzi ili magufuli ashinde,wameshafukuzwa kazi,au watafukuzwa kazi siku yoyote au mishahara yao imefyekwa.Shukrani ya punda...najua huko waliko wanalia na kusaga meno!Na bado..
 
Back
Top Bottom