Bring back our UKAWA asilia

Bring back our UKAWA asilia

yumbu

Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
66
Reaction score
10
#JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter

Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI.
 
Kuna thread yako nyingine umeianzisha leo inasema "ukawa mpaka lini" lakini Contents zake ni hizi hizi...

Umejiunga 2012 lakini bado unapost madudu.
 
#JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter

Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI.

mkuu hela ngumu sana kitaa...huwezi amini wabunge wa ukawa wanagonea mpak mihogo...na tunawatoa ofa ya kahawa...kweli adui mwombee njaa
 
Back
Top Bottom