VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Una udumavu wa kifkra!Ewe,
Ulitaka upewe umeme wa bure?
Ewe,
Ulitaka upewe umeme wa bure?
Una akili timamu, lakini uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana dada angu. Sorry for this, but that's fact
Ulitaka upewe umeme wa bure?
Nasikitika sana kuona uwezo wako wa kufikiri ndio ulipoishia hapo. Think out of the box.
Watanzania wote kwa ujumla wetu,tujitokeze kuwaunga mkono vijana wazalendo wa nchi hii wakiongozwa na Ben Saanane,katika kushinikiza kurejeshwa kwa mabilioni yetu yaliyochotwa kiholela kupitia sakata la Kampuni ya IPTL. Ingaa imekuwa ikikanushwa kuwa mabilioni hayo si ya umma,bado tunaamini kuwa ni mabilioni yetu na yanatokana na kodi zetu kama watanzania.
Itoshe hata kupaza sauti zetu kukomesha uchotwaji huu wa mabilioni ya fedha nchini mwetu. Ya KAGODA,MEREMETA,RICHMOND na mengineyo nayo ni mifano ya mambo kama haya ya IPTL. Kijana, mzee na wengineo,tuunge mkono juhudi hizi za vijana wazalendo kupinga nchi yetu kuwa 'shamba la bibi'
Sajili kauli yako ya kukataa ufisadi nchini kwa kusema : Bring Back Our Money! Mimi nasema: BRING BACK OUR MONEY!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini Iringa-Morogoro)
Huyo faiza sijui kama mzima analeta habari za kujiuza barabarani huna la kuchangia nyamaza tumechoka kuibiwa nchi yetu sio masikini viongozi wetu ndo wabinafisi na wanakumbatia ufisadi na rushwa wizi wa pesa za iptl ni mkubwa mno kuliko epa haiwezekani pesa nyingi kiasi hicho kiibiwe arafu presidaa yupo kimia nina mashaka sana na viongozi wa nchi yetu tutamkumbuka mwl nyerere kwa mengi.
Ungekuwa unaishi Tarime ungekuwa ulisha chomwa moto upo kaa mchawi mchawiEwe,
Ulitaka upewe umeme wa bure?
Jitahidi kwanza basi ujue kinachoongelewa hapa, kama uko karibu na waliohusika na uchotaji huu si ukae kimya? Unaboa sana!Ulitaka upewe umeme wa bure?
Si uolewe tu kama mimi, sijui hata umeme unanunuliwa saa ngapi, utapata umeme wa bure.