Briefing ya TEC na Rais by Fr. Kitima

as long as wamemuita wao, wameumia! kwa akili zilivyo atawachukulai kama ku surrender to her pressure! Let wait and see!
Itakuwa huwajui vizuri hao na mambo ya kanisa , kuna mawili mosi: hiyo ni kama tahadhari na kuepusha lawana for their next move kama wakiendelea kupuuzwa (ninahisi kuna kitu kizito sana mbele ya safari), yaani ni kama kusema ila tulionya na kushauri mapema ………….

Pili: inawezakuwa aliwahitaji ila akawa anaona aibu au kushindwa namna ya kuwaendea, so maaskofu ndio wakaona wajishushe au kujiongeza (msikilize vizuri kitima hapo akifafanua kuhusu kuhusu viongozi kama spikawalioenda kumuona kwake) utaelewa hii point
 
Shehe akiona ubwabwa akili inahama.
 
Yes, kama una sikio Fr. Kitima ameeleweka vizuri na amesema msimamo wa TEC ni ule ule akawa anaonesha kijitabu nadhani ndio tamko walilotoa November mwaka jana.

Na amekiri ni mara zote wao huomba kuonana na Rais, which ni maturity kubwa sana. (Ni kama alikuwa anasema this is not a big deal kama mnavyotaka ionekane)

Na amekiri wana push uwajibikaji sio kwa mbinu moja tu ya kuonana na Rais…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…