Hehe jamani ndo mmenichoka home kiasi hicho?
View attachment 524846 The show stopper..at the bridal fashion show in NY
Itabidi aitwe baba mchungaji aanze maombi kabisa.Teh!, hawa watu wakati mwingine akili zao sijui huwa zinawaza nini.
Akina sisi tuvae hivyo na tulivyo na misambwanda sijui kama kwenye harusi patakalika.
Yaani huo mtego daaah
Tumvalishe hivyo Heaven Sent maana kalivyo kembamba hata hauwezi jua kamevaa au hakajavaa!!Tehe!, kwa kweli.
Kabisaaaaa natamani nikamuoe hahahaJose macho hayatakubanduka kwa bi harusi
View attachment 524846 The show stopper..at the bridal fashion show in NY
Tumvalishe hivyo Heaven Sent maana kalivyo kembamba hata hauwezi jua kamevaa au hakajavaa!!