Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,985
- 6,063
huyo huwa haelewi mambo hata uje na daftariKwamba India ikitembelea Tel Aviv ndio msimamo wao juu ya free Palestine umefia hapo?
India wana positive neutrality ya kuzitambua both Israel and Palestine kama two-state solution. In fact India tokea 1974 inaitambua Palestina kama taifa huru na haijawahi badilisha msimamo.
Tumia akili zako vizuri Mimi nimeuliza Swali kuwa BRICKS wanaendeleaje huko? Maana Mwanachama wao mhimu katia saini mikataba 16 na Israel ambayo inapigana sana na BRICKS!!Kwamba India ikitembelea Tel Aviv ndio msimamo wao juu ya free Palestine umefia hapo?
India wana positive neutrality ya kuzitambua both Israel and Palestine kama two-state solution. In fact India tokea 1974 inaitambua Palestina kama taifa huru na haijawahi badilisha msimamo.
Putin alienda marekani, Trump atafanya ziara china siku chache zijazoSuala hapa ni Brics na wala sio Israel vs Palestine mue watu wa kuelewa mambo basi.
Brics haiwezi kufaulu kwani biashara nyingi duniani bado zinatumia dola ya Marekani na mataifa mengi yanaogopa Tariffs.
Hiyo mikataba inapingana vipi na brics?Tumia akili zako vizuri Mimi nimeuliza Swali kuwa BRICKS wanaendeleaje huko? Maana Mwanachama wao mhimu katia saini mikataba 16 na Israel ambayo inapigana sana na BRICKS!!
Cha kusikitisha umekurupuka kama mwehu na kuanza kubwabwaja ujinga-ujinga mtupu!!
Umeharisha tu bila chanzoKumbe wakurupukaji mko wengi tumieni akili zenu vizuri soma nilichokiandika ndipo uje ujibu siyo kuuliza maswali ya kijinga hapa!!
Hakuna chanzo ulichoweka, India kaingia mikataba gani na Israel inayokinzana na BRICS?.. UK juzi tu PM alienda china, Canada pia,na punde Trump ataendaUjinga unakusumbua hata umeshindwa kujibu Swali rahisi hivyo!!!
Jibu Swali Acha kubwabwaja ovyo!! Mimi sijaongelea PM wa Uingereza wala Trump kwenda!!! Tumieni akili zenu vizuri!!!Hakuna chanzo ulichoweka, India kaingia mikataba gani na Israel inayokinzana na BRICS?.. UK juzi tu PM alienda china, Canada pia,na punde Trump ataenda
Wewe ndiyo useme hiyo mikataba India alivyoingia na Israel kivipi inayumbisha BRICSJibu Swali Acha kubwabwaja ovyo!! Mimi sijaongelea PM wa Uingereza wala Trump kwenda!!! Tumieni akili zenu vizuri!!!