burahanthu
Senior Member
- Apr 21, 2012
- 143
- 37
Huwa naona ni ushabiki Rossiya na China na wenzie wanaposema kuwa wanaweza kujiendesha bila dollar, hivi Federal Reserve Bank sio ndio ilianzisha banking system na mifumo ya masoko ya fedha, sasa leo unaposema kuwa bila dollar inawezekana wakati hata mfumo malipo kama VISA, MASTER cards na vingine huna, hauna mbadala wa SWIFT CODE transfer hauna ni kivipi unaachana au Chinese wameshatoa kopi yake na modification kidogo,