Brela wanaboa sana wajirekebishe

Brela wanaboa sana wajirekebishe

kifaru 1

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Kupata usajili wa kampuni pale brela ni ngumu sana urasimu kibao barua kuomba kutumia jina inachukua wiki mbili ' ukishalipia unapigwa wiki ikiisha ndio hapo utazungushwa miezi mara leo umekosea hiki mara kesho! sasa tutanza kuwataja! Halafu acheni kujisikia hiyo ni kazi tu kama nyingine
 
Jamaa yangu kahangaika sana kupata usajili wa kampuni
 
Hata uwe na mkono mrefu hela wanakula na kazi hawafanyi
 
wale ukisha wajulia wala hawakupi shida mkuu. tena wala c pesa nyingi msimbazi wa nne tu siku mbili umemaliza mambo yote,tafuta watoto wa mujini.
 
Watafute wahindi watakutolea kwa sku moja tu
 
Back
Top Bottom