Breking Newz: Mswada wa sheria ya Katiba mpya kufutwa!

Sipati mwelekeo ofisi ya Dr Kashilia na hii ya mahusiano, zote za chombo kimoja zinapopingana!!!!! Ngoja Kashilila arudi aweke kauli yake sawa aliyoitoa majuzi.
 
Reactions: FJM
Naona wengi hapa ni wavivu wa kufikiri sana! Ni nani amewaloga akili zenu na kuwa kama maji? Ni nani amewaambia huo ndio muswada wa katiba mpya? Mnacheza nyie na propaganda za Magwanda na washilika wake! Swali! Ni nani ameusoma huo unaoitwa muswada? Kama hakuna kaeni kimya maana mmelishwa matango pori na cdm. Huo ni muswada wa namna ya tume itakavyofanya kazi na una ainisha wajumbe waweje na kutoka wapi na wa aina gani full stop. Sasa nyie mnadandia treni kwa mbele! Usomeni kwanza ndio mtafute hoja.
 
Tuna wabunge wengi hasa ndani ya CCM na KAFU ambao kazi yao ni kukubali kila mswada bila hata kuusoma. Na iwapo mtu aliyesoma mswada huo kwa makini akiupinga basi wao wanazomea.
 

Yaani hao CCM na CUF nina hasira nao mambumbu wakubwa alaaa!!!.
 

Nini wewe bata vuzi?cheza na kitu kingine chochote usicheze na katiba kuchezea katiba ni kuchezea maisha yetu ng'ombe kasoro mkia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…