BREAKING NEWS.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuhusu,
Basi la kampuni ya Mohamed Trans lililokua likitoke Mwanza kuelekea Dar lilipofika maeneo ya Misungwi dereva wa basi hilo alimuwashia taa(full light) dereva mwenzake aliekua akiendesha gari kubwa la mizigo(semi trailler) nalo pia likiwa ni mali ya kampuni ya Mohamed trans lililokua likitokea Singida kuelekea Mwanza. Dereva wa semi trailler nae pia aliwasha full light ili kujibu ishara ya dereva mwenzake aliekua akiendesha basi la abiria, Tukio hilo lilitokea hatua chache kutoka eneo la mizani ilioko Misungwi ambapo mabasi upimwa uzito kabla ya kuendelea na safari kuelekea mkoa wa Shinyanga. Kitendo cha madereva kuwashiana taa ilikua ni ishara ya salamu tu kwani madereva hawa wanafahamiana kutokana na kwamba wote wanafanya kazi kampuni moja ya Mohamed, baada ya salamu magari hayo yalipishana na safari zao ziliendelea kama kawaida.
umezoea ajali,leo pakavu,no accidents😜😜😜😜😜😜