Breathtaking view of Mt Kilimanjaro from Kenya

kilimanjaro.jpg


amboseli-elephant-kilimanjaro-background-01-590x390.jpg


From Mkomazi NP
Lies hapo ni amboseli,
Iyo angle ni from amboseli side
 
Juzi simba wenu wa tsavo kamtafuna mgumu(porter)akambakiza kichwa tuu jinsi alivyokuwa na njaa!hii inaonyesha wakenya jinsi mlivyo waroho
 
......your neighbour's garden looks lovely from your window.........
 
Hapa ndipo ninapo bakia kuyaenzi mawazonya mwalimu nyerere daima ..yaan kama asingekaza hawa jamaaa wangejitengenezea kanjia kao kakuupanda huu mlima !! Lkn the late mwal.alipandisha mwenge wa uhuru kama ishara ya umiliki wq mlima huo ..mlima ambao majirqn zetu kinawakereketa mnoooo wanaishia kutumia kamsamiati come and view mt kilimanjaro... Lkn wanasahau ya kuwa mtalii akija Tz anauona huo mlima na kuupanda tena ukiwa moshi town tu unauona ss nyie mpaka msogee mbuganiii ..... Embu mbunguzeni kuwashwa washwa and and view kilimanjaro...ishakufa
 
Wakenya mnakuja kupotezea muda huku kajadilini kuhusu kulipa gold ya watu mtuachie Kilimanjaro yetu
 
Very good, is like I own wife but every body is free to see her from distant, but no one is allowed to climb her, that is reserved for me only, "The owner".

"Wanakula kwa macho"
Ukidhani wewe ndiye unayempanda pekee yako utashangaa kugundua kuwa kuna jamaa huwa anampanda kila wiki akiwa ameenda sokoni. Hamna haja ya mwanamme yeyote hii dunia kujipiga kifua kwa mambo ya wanawake.
 
Ukidhani wewe ndiye unayempanda pekee yako utashangaa kugundua kuwa kuna jamaa huwa anampanda kila wiki akiwa ameenda sokoni. Hamna haja ya mwanamme yeyote hii dunia kujipiga kifua kwa mambo ya wanawake.
Kwa mwanamke huyu anayeitwa Kilimanjaro, hapandwi na mtu mwengine bila ridhaa yangu, kwasababu hatoki ndani, na Mimi sitoki NYUMBANI.
 
Ukidhani wewe ndiye unayempanda pekee yako utashangaa kugundua kuwa kuna jamaa huwa anampanda kila wiki akiwa ameenda sokoni. Hamna haja ya mwanamme yeyote hii dunia kujipiga kifua kwa mambo ya wanawake.

Do you still think GoK knows what it wants, as far SGR is concern, are still trust Macharia?
 
Wakenya kwani shida ni nini?
Mmekuja ooh Kiswahili Kiswahiliiiiii sijui WaTz hawajui Kiswahili etc (Ulimwengu unatambua Kiswahili halisi a ni cha Mtanzania na si vinginevyo?
Wakenya mna Kiswahili kibovu kushinda Wakongo na Wanyarwanda
Haya Samatta naye mmesema wa kwenu (lakini mmeshuhudia Tz flag ikipepea kunako)
Haya sasa Mlima Kilimanjaro nao umekuwa kivutio Kenya
Shida ni nini lakini wandugu kha!
Tunayo mapungufu lakini msituchukulie poa
Mind your own business Kenya please this is getting too much ah ah!
 
Ona na hapa wakenya walivo wachokizi eti Samatta na Profesa J ni wao.
tapatalk_1558299736474.jpeg
 
Back
Top Bottom