Usitumie moyo kupenda, tumia akiliImagine ungekuwa na uwezo wa kugundua kuwa mwezi ujao mpenzi wako unaempenda kwa dhati atakuacha na atakutangaza hadhari kuwa kakupiga cha mbavu. Hapo the smartest move ni wewe kumuacha mapema kabla hajachukua point zote 3 muhimu ili kulinda ego yako. Na ikiwezekana muonyeshe na mtantangaze mpenzi wake mpya hadharani mapema kabisa.
Anyway sijui nataka kusema nini, ila sio kuhusu mahusiano.
Huyo ni mwanaume lakini, itakua kuna single mama kampurura visenti vyake halafu kampiga cha mbavu na warning juuNjoo na I'd yako ya zamani upate pole za kutosha umekutana na wahuni wakopaji sio..
Daah kazi kweli kweli..Huyo ni mwanaume lakini, itakua kuna single mama kampurura visenti vyake halafu kampiga cha mbavu na warning juu
Kwenye maisha yangu huwa nahisi comfortable zaidi kuachwa. Nakuwa na amani , kuacha huwa nawaza mengi ( hasa huwezi jua atapata maumivu gani ) nikiwaza hapo naona ni bora niumie mie kuliko aumie yeyeHuyo ni mwanaume lakini, itakua kuna single mama kampurura visenti vyake halafu kampiga cha mbavu na warning juu
Ndio kitu nachofikiria hakika.Hiyo kuanzia sasa inaitwa "Nchimbi Theory of Resignation"
Niliandika nikiwa nafikiria scenario ya mzee. Hapa ni kama kuwaiana kulitumika.Ndo maana nchimbi aliamua ajiuzuru