Breakup ya kwanza ilikuaje?

Mazee si ajitokeze kijana mmoja ampe Lamomy heartbreak ya nguvu kiasi kwamba apungue kilo tano ndani ya siku mbili?
Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi ๐Ÿ˜( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zake๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿคฃ)
 
Lamomy naye atakua aina hiyo ya watu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ashaota sugu.
 
Shida hisia Zina wacost mno, for real kuweka hisia kwa mtu ni zero siku hizi.

Kikubwa na play part yangu, iff it's over I keep chasing big bucks
 
Mzee mi huwa Nina affection kubwa ya watu au vitu.
Ila viki amua kuondoka, sigeukagi kabisa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Broo una jua series na misosi Raha yake๐Ÿคฃ, Eti nisumbuliwe na binadamu mwenye manyoya mwili mzima.
Kama una affection na vitu lazma kuna emotional connection hapo, lazma uumie labda usioneshe kwa watu tu ila ukweli unaujua mwenyewe! Wanaume wengi hua tunafake hisia ndo maana tunakufa mapema.
 
Aisee nilipo Kuna supu flani noma na nusu, mzee kila siku mi ndomteja wao wa kwanza ๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Kikubwa punguza hisia za u kyande, be normal tu
Tatizo kuna watu hawajui kucontrol hisia, hisia lazma uzi face sio kuzi deny. Unapozifaace ndipo unakua umezicontontrol no wonder tunaona wanaume wengi wameharibika na mapombe, sigara, wanafakamia malaya, mwisho wanaishia kuharibu afya zao na kupata magonjwa.

Ww endelea kunywa supu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kama una affection na vitu lazma kuna emotional connection hapo, lazma uumie labda usioneshe kwa watu tu ila ukweli unaujua mwenyewe! Wanaume wengi hua tunafake hisia ndo maana tunakufa mapema.
Mzee mi uki ni delete, Nita waza kwanini??.
Then nikija na judgement nzuri, naku tupa side aways pia๐Ÿ˜†.
 
Oya ntakuzingua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mi sijawahi kupigwa tukio mwanangu, hayo mambo siyapi kipaumbele..!!
Mimi ukisema itโ€™s over fresh pita kushoto nipite kulia. Kitu kinanipea stress MONEY ๐Ÿ’ฐpeke yake!!
Hawa viumbe waliojaa mpk wengine wanaamua kuwa mashoga hawaniumizi kichwa bob ๐Ÿ˜‚
 
Lamomy naye atakua aina hiyo ya watu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ashaota sugu.
Mimi huyu?? Nishakwambia siumizwi na siteseki na vitu vya kipuuzi..!!
Ww kijana acha kuendekeza hisia, utamu wa pipi mate yako..!! Acha uboya unazingua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi huyu?? Nishakwambia siumizwi na siteseki na vitu vya kipuuzi..!!
Ww kijana acha kuendekeza hisia, utamu wa pipi mate yako..!! Acha uboya unazingua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ watu wa aina hii akipigwa tukio, analipza kwa kudanga hamna namna.. endelea ku repress hisia utakufa vibaya. Nyie ndo mnataka wanaume wafe mapema. Mnawachezea na kukosa hisia kwenu, pymbyf๐Ÿ˜…
 
Bichwa lako gumu kuelewa unanichosha, naona unaendekeza hisia kuliko akili zako..!!
Endelea kuteswa na mapenzi na usikubali mpk yakuue ๐Ÿ˜
 
Poa bob๐Ÿ‘๐Ÿฝ , Lakini si nilishasema kila mtu ashinde mechi zake๐Ÿ˜, ( ulijisikiaje au ulikuwaje utamalizana na SIR GOD huko๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ˜Ž)
 
Dah nipeni maji kwanza ninywee ili nipate walahu nguvu ya kusimulia lol.
Kwa ufupi tu...!
Kwanza ilikua ghafla, Nilijipata na anxiety [emoji22] nilinyoa nywele zangu.Nikaomba likizo ya mda job..nikabeba vyeti,passport na nguo chache huyoo nikahama nchi kwa mda.To be continued [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ