Breaking: Rage awarudisha Julio na Kibadeni Simba

Breaking: Rage awarudisha Julio na Kibadeni Simba

SIMBA SC ni ka-project kadogo ka Mh. Rage: no way out, kwa misimu ya hivi karibuni Simba kuwemo kwenye MBILI au TATU BORA itakua ni ndoto. Rage ndani ya Simba amejigeuza Mfalume anafanya kwa kadri anavyotaka yeye.
 
Rage mpiganaji asiyechoka awapo vitani.
hongera sana.
 
Kuna tatizo kubwa la mfumo wa uendeshaji soka tanzania .rigi ya england timu zimeanza kuwa za kulipwa miaka ya 1890 sisi mpaka leo vilabu vinaendeshwa kwa mfumo wa kizamani usio na tija.hivi huyu msomali kamati nzima haimtaki yeye bado hataki kuondoka ana maslahi gani simba au yeye ni mmiliki wa timu. lakini mfumo wa hizi timu kuu mbili ni njanga kubwa la kimichezo.tusiwacheke simba si muda mrefu haya matatiza yatahamia upande wa mbili.wakati yanga na simba tupo bize na malumbano yasiyo na tija ramba ramba wanajenga miundo mbinu ambayo klabu kongwe kabisa east africa hata kiwanja vya mazoezi hakuna.nchi hii inayo rasilimani watu wa kuendeleza football lakini mfumo huu watubhao hawawezi kujitokeza kuendesha hizi club.ushindi wa ligi kwa azam utabadili fikra na msimamo wa urndeshaji soka
 
Ninadhani Mzee Kibadeni anadharirishwa sana kwa ubabaishaji unaoendelea katika Timu (Kilabu?) yake ya Simba. Ninaamini hana njaa ya kumfanya aendelee kuwepo hapo, na kama ni mapenzi kwa Timu (Kilabu?), basi akikubali kurudi ajue amejimaliza. Mzee Kibadeni, nakushauri rudi kwa muda, Kagera Sugar ili ukikuatana na hao Simba wanaokudharirisha uwapige bao kama kawaida!
 
Kwa nini Rage aendelee kuing'ang'ania simba? kwanini hataki kuitisha mkutano mkuu?
 
Baada ya kutoka kwa msamaha alikata rufaa na mahakama ikamsafisha kwamba hakuwa na kosa! Sasa haya maandishi yenu wakati mwingine yanaweza kuwaletea balaa!! Ongelea kinachoendelea sasa kama una hoja yenye mashiko ilete tuijadili!!
kwa hiyo historia ya uharifu unadhani aliipoteza? ndo maana anaendesha simba kama taasisi yake
 
Back
Top Bottom