Breaking: Rage awarudisha Julio na Kibadeni Simba

Breaking: Rage awarudisha Julio na Kibadeni Simba

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Mwenyekiti wa Simba Mh. aden Rage amewarudisha Rasmi makocha Jamuhuli kiwelu julio(kocha msaidizi) na King Kibaden(kocha mkuu) kuendelea na kazi ya kuinoa simba katika mzunguko wa pili wa ligi kuu na si kocha lugarusic wa Gor mahia alietangazwa awali.
Rage'' ni kweli nimewarudisha julio na kibaden na hawa ndio makocha wa Simba wataendelea na kazi'' alisema Rage leo hii
 
Tumeumia na huyu msomali sijui katulogea wapi wana Simba anafanya anachotaka hamna wa kumgusa, ngoja timu ishike nafasi ya 16 ndio tutashtuka labda.
 
jamani mara ya mwisho si nilisikia wamemvua uongozi huyu muheshimiwa sana?
 
rage bana kawashika wanasimba atakavyo!!! duu kweli kazi kweli kweli inamaana ile kamati iliyomtoa walikuwa wanafanya kikao cha harusi kama alivyosema rage.

kweli kazi kweli kweli
,
 
Safi sana Rage, umewabana sana waliogeuza simba shamba la bibi, tunatofautiana kwa mengi, lakini kwa hili tupo pamoja.
 
mkuu huyu si alitoka kwa msamaha HUYU ALIKAA JEAL MDA WAKOTOSHA NA NINYI MKAMPA UONGOZI
Baada ya kutoka kwa msamaha alikata rufaa na mahakama ikamsafisha kwamba hakuwa na kosa! Sasa haya maandishi yenu wakati mwingine yanaweza kuwaletea balaa!! Ongelea kinachoendelea sasa kama una hoja yenye mashiko ilete tuijadili!!
 
Mashabiki na Wanachama wa Simba nikama Mbwa kwa chatu mbele ya huyu msomari.
 
Safi sana Rage, umewabana sana waliogeuza simba shamba la bibi, tunatofautiana kwa mengi, lakini kwa hili tupo pamoja.
Kwani huyu Rage alieziba mianya ya SIMBA kufanywa shamba la bibi, ameonyesha nini zaidi ya kuuza wachezaji wa kiwango na kununua wa kiwango cha chini. Okwi hatuoni fedha zeke, Kapombe haileweki, kabla yake SIMBA ilikua timu ya ushindi sasahi tiamajitiamaji.
 
Kukinuka jangwani,msimbazi kunapoa na kinyume chake. Haijawahi kupita mwaka bila hizi timu za kariakoo kukichafua. Mimi binafsi naamini viongozi wa hizo timu mbili ni matahira na mashabiki wao ni mazezeta. So tahira akimuongoza zezeta usitegee jipya.
 
Bravo Kamanda Rage. Enzi za wahuni wa mitaani kugeuza. simba km shamba la Bibi zimepitwa na wakati....wakatafute kwingine kuganga njaa zao!
 
Tumeumia na huyu msomali sijui katulogea wapi wana Simba anafanya anachotaka hamna wa kumgusa, ngoja timu ishike nafasi ya 16 ndio tutashtuka labda.

Heheh si unajua Bw Aden anamiliki mguu wa kuku, labda watu wanaogopa kufumuliwa ubongo...
 
Back
Top Bottom