Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Jan 25, 2012 #61 Bigirita said: Heeeee! ikipoa inakuwa kiporo! Click to expand... hehehe ya kweli hayo?
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Jan 25, 2012 #62 KIMICHIO said: Pia kuna nahara kokoto,sakauchi kaupata,kumamoto inapoa,na maurojo pumbuwazi. Click to expand... wewe kweli kimichio
KIMICHIO said: Pia kuna nahara kokoto,sakauchi kaupata,kumamoto inapoa,na maurojo pumbuwazi. Click to expand... wewe kweli kimichio
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Jan 26, 2012 #63 Mibsmina said: Jaman jama Click to expand... Mibsminaa from UDOM karibu jamvini
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jan 26, 2012 #64 Hapa nimepata listi ya watukanaji bora wa mwaka, hawa wote wanaishi uswazi bila shaka, ndo maana wanjua kuporomosha m.i.t.u.s.i
Hapa nimepata listi ya watukanaji bora wa mwaka, hawa wote wanaishi uswazi bila shaka, ndo maana wanjua kuporomosha m.i.t.u.s.i
ha ha ha JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 638 Reaction score 84 Jan 26, 2012 #65 apo kwenye majina ndo kila mwenye hamu ya kutukana anatukana anajifanya jina,duh!wadau noma
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 561 Jan 26, 2012 #67 czar said: Haa haaa ongezea UZINI, KACHONGWA, MDUDU MDOGO, MAKUNDUCHI, kuna hadi LEGEZA MWENDO. Sasa haya huyaoni unaona ya Wajapan ee, kweli nyani haoni.............. Click to expand... Wapiiiiiii Barubaru?
czar said: Haa haaa ongezea UZINI, KACHONGWA, MDUDU MDOGO, MAKUNDUCHI, kuna hadi LEGEZA MWENDO. Sasa haya huyaoni unaona ya Wajapan ee, kweli nyani haoni.............. Click to expand... Wapiiiiiii Barubaru?