Breaking newzzzz!!!!
Habari zilizopo dunian kwa sasa ni kwamba Mzee wetu mahiri barani Africa, Mzee Nelson Mandela hayuko tena Hai,
wala Same wala Moshi,
bali yuko kwao South Africa akiendelea vizur na matibabu.