Breaking newz: Vurugu mwanza

Breaking newz: Vurugu mwanza

Baiskeli

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
336
Reaction score
61
ni machinga na askali jiji hali ni ya vurugu. maduka yamefungwa. source nimeongea na jamaa yangu kwa simu
 
Sasa baada ya mbunge wao (mtetezi wa machinga) kuondoka kwenda dodoma, hawa askali ndio wanalianzisha..? mwenye more info atujuze, ila huenda itakuwa baadhi ya maeneo kuna jamaa yangu nimeongea nae yupo ppf plaza kenyatta road hapo pako shwari ila anasema asubuhi aliona madefender ya polisi
 
Duuh!.. Nilvosoma title yako, Nkajua ya Egypt & Tunisia!... Kumbe migambo na machinga!..
 
Duuh!.. Nilvosoma title yako, Nkajua ya Egypt & Tunisia!... Kumbe migambo na machinga!..

Mkuu ya Tunisia pia yalianza na fracas kati ya mgambo na mmachinga...
 
Sasa baada ya mbunge wao (mtetezi wa machinga) kuondoka kwenda dodoma, hawa askali ndio wanalianzisha..? mwenye more info atujuze, ila huenda itakuwa baadhi ya maeneo kuna jamaa yangu nimeongea nae yupo ppf plaza kenyatta road hapo pako shwari ila anasema asubuhi aliona madefender ya polisi

mpaka sasa niko katikati ya jiji maduka yote yamefungwa mpaka sasa!
 
ingia mitaa ya stend ya mohamedi aka soko kuu,,nenda barabara ya jiji then utausikilizia mziki wenyewe..

niko jiji machinga wamegoma kutoka wanataka wapewe jibu na hawamtaki mkurugenzi kwani anawanyanyasa!
 
Nimewasiliana na jamaa yuko mjini, karibu na sokoni. Anasema issue imeisha baada ya Machinga kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao. Hata hivyo maduka yalikuwa bado yamefungwa!
 
Nimewasiliana na jamaa yuko mjini, karibu na sokoni. Anasema issue imeisha baada ya Machinga kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao. Hata hivyo maduka yalikuwa bado yamefungwa!

muda huu ndo naondoka katikati ya jiji kuelekea nyakato bado maduka yamefungwa na gari za FFU zinalanda jiji zima ingawa hakuna vurugu ila vijana wengi wako katika makundi makundi! Kweli tz ya leo bila viongozi makini na wenye busara haitatawalika hata kwa dawa.
 
Back
Top Bottom