Kuna taarifa nimepata, kwamba TCU wamekaa na wawakilishi wa vyuo mbalimbali, hivyo wamekubaliana majibu kutoa wiki ijayo, sababu za kufanya hivyo bado hazijatambulika. So ndugu vijana endeleeni na subira, hii ndo kasi mpya na nguvu mpya. Nawasilisha.
S/N | Activity | Date |
1 | Opening of the second round of applications | 1[SUP]st[/SUP] August 2011 |
2 | Closing of the second round of applications | 22[SUP]nd[/SUP] August 2011 |
3 | Release of names of selected applicants | 3[SUP]rd[/SUP] September 2011 |
Kuna taarifa nimepata, kwamba TCU wamekaa na wawakilishi wa vyuo mbalimbali, hivyo wamekubaliana majibu kutoa wiki ijayo, sababu za kufanya hivyo bado hazijatambulika. So ndugu vijana endeleeni na subira, hii ndo kasi mpya na nguvu mpya. Nawasilisha.
Habari vijana, nipo karibu na hawa tcu ila mpaka wanakupeni hilo tangazo kua mtapewa matokeo tarehe 4 august kazi ilikua haijakamili hata nusu yake ndio maana wakawaambia ambao watakua hawakuchaguliwa waombe second selection,so hata kama wangetoa leo vingetoka vyuo vichache kwa kua kazi iliyokua imefanyika ni ndogo sana.

kujisifia kote kipindi kile, Oooh! Tutatumia techn mpya! upupu m2pu.
Public Announcement on Second round of Application for 2011/2012 Admissions
The Tanzania Commission for Universities (TCU) wishes to inform the general public that the selection process under the first round of applications through the Central Admission System (CAS) has been completed and names of selected applicants will be released on 4[SUP]th[/SUP] August 2011. Following the completion of the first round, the second round of applications will be opened starting on 1[SUP]st[/SUP] August to 22[SUP]nd[/SUP] August 2011. This round will be opened to those who have not been selected during the first round and applicants who did not apply during the first round of application, which was closed on 31[SUP]st[/SUP] May 2011. With the planned second round of applications, prospective applicants and the general public are advised to take note of important dates as shown below.
S/N Activity Date 1 Opening of the second round of applications 1[SUP]st[/SUP] August 2011 2 Closing of the second round of applications 22[SUP]nd[/SUP] August 2011 3 Release of names of selected applicants 3[SUP]rd[/SUP] September 2011
For further clarification please contact TCU through the following:
EXECUTIVE SECRETARY,
P O BOX 6562,
DAR ES SALAAM,
Tel: (255) (22) 2772657,
Fax: (255) (22) 2772891,
Hotline number: 0759 539987, 0759 537659, 0714 582742, 0783 600424 and 0773971363,
Email: es@tcu.go.tz, dad@tcu.go.tz or admission@tcu.go.tz
TCU offices along Garden, Mikocheni, Dar es Salaam.
EXECUTIVE SECRETARY
(Posted on:2011-07-19) find more..
Haya sasa. Hapa waliahidi kutoa tarehe 4/08/2011. Hii ni baada ya kuahirisha mara ya kwanza walipoahidi kutoa katikati ya Julai. Ari zaid, Kasi,
zaidi na nguvu zaidi

Lakini Tarehe 4 August si inaisha saa sita za usiku wa leo!

Tuwape muda jamani!

Guys?

Y waseme 4th f wahawezi kutekeleza. Ata wangesema mwakani c2nge elewa y lik dis? Y we make da foolshnes alng da fools?

Ts Tz.

We are Tz,

we can revolute dis