mmmh! Mkuu, chukua dakika moja ya utulivu kisha soma tena uzi wako,huenda utarekebisha jinsi ya kuufikisha jamvini. Naona kuna utata kidogo kwa taarifa uloitoa. Jamaa ameijua na kutoroka? kisha anatafutwa na polisi?
Ufafanuzi please!