Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 3, 2014 #1 Ndege nyingine imepata ajali mbaya na hakuna abiria aliyepona wote wameungua moto. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria wafuatao!!! Umasikini Msongamano wa mawazo (stress) Magonjwa Huzuni Mikosi Njaa Kushindwa katika maisha Kukatishwa tamaa Kukosa ajira Maumivu Andika neon R.I.P" Kama unaamini majanga hayo hayana nafasi tena kwako
Ndege nyingine imepata ajali mbaya na hakuna abiria aliyepona wote wameungua moto. Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria wafuatao!!! Umasikini Msongamano wa mawazo (stress) Magonjwa Huzuni Mikosi Njaa Kushindwa katika maisha Kukatishwa tamaa Kukosa ajira Maumivu Andika neon R.I.P" Kama unaamini majanga hayo hayana nafasi tena kwako
N NSSW Member Joined Dec 11, 2013 Posts 30 Reaction score 8 Jan 3, 2014 #2 Habari zako si kweli, wote abiria waliokuwemo wazima na nimewaona hii saa.