Yes! Huu uzi hauna haja ya kuvalishwa kofia ya Breaking news kwa kuwa yaliyotokea tuliyategemea.As if tulitegemea matokeo tofauti..
Wamenifurahisha Hapo kwenye 43000 keshi.
Hesabu kama hizo zinakuaga na shaka.
Haiwezrkani isiwe na mamia wala mamoja.
Yaani kuna watu wapumbavvvuu kweli... Wanapongeza as if tulitegemea Ekuru au Nyaga kushindaAs if tulitegemea matokeo tofauti..
Tatizo nini? Hiyo sio numba? Isn't it in the valid range? Sijaelewa mantiki yako nini hasa.Africans sijui kwanini hatujui kupika data!! Hakuna data kama hii 43,000 katika uchaguzi!!! Haiwezekani!!!!
Huu nao ni Wizi mwingine wa kura na demokrasia kwa wananchi wa Kenya.!!
Period!!
kwan zanzibar ilikuaje,hakuna jipyaUchaguzi uliofutwa ulikuwa bora kuliko huu wa marudio.
Kotekote ni ujinga tu wa kupotesa pesa.kwan zanzibar ilikuaje,hakuna jipya