Breaking news: Ndege ya Rwandair b737-800 ya pili kuingia leo kutoka seattle Marekani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kampuni ya ndege ya rwandair inatarajia kuingiza ndege yake ya pili
b737/800 kutokea seattle marekani..habari zaidi zinasema ndege hiyo
mpya iliotokea kiwandani inatarajia kuwasili mchana huu saa kumi
kwa ajili ya safari za nje mbali mbali ambazo lengo ni kuakikisha
inasafirisha abiria pande zote west,east south afrika pamoja na
europe......kwa picha zaidi baada ya kuwasili tutawatumia pale tutkapopata

hongera kagame hongera wanyarwanda hii ni step moja nzuri katika kuimarisha
sekta ya anga bara letu la afrika
 
Sasa hiyo ni Breaking News?????
Mbona ni taarifa ya kawaida sana mkuu
 
Sisi kazi yetu ni kuagiza au kukodi ndege used wakati wenzetu wanaagiza vitu vipya kabisa
 
Back
Top Bottom