Breaking news: Mtihani umeahirishwa.

Breaking news: Mtihani umeahirishwa.

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
kufuatia mgomo wa wanafunzi chuo cha IFM, chuo kimechua uamuzi wa

kusogeza mbele kufanyika mtihani wa semister ya kwanza, hadi wiki ijayo TAREHE 7/03/2011.
 
Sijui vijana hawakuwa wamejiandaa? au kweli matatizo ya kiufundi au vipi sijui nielimisheni jamani
 
Mmmh! hii kali zaidi sasa hao wlikwisha anza mitihani yao inakuwaje???
 
mzazi wataweka kitu cha jiwe halafu ushindwe kuandika.
 
mh unashangilia kuahirishwa mtihani kweli elimu sasa imekuwa siasa.
 
sio kujiaanda, wanataka COURSE WORK kwanza wapewe ndo wafanye mtihani.

Hatuna wanafunzi hapa..

Hii inaonyesha jinsi hawa vilaza walivyojawa na hofu za kupata SUPP za kutosha au KU-DISCO moja kwa moja!!
 
Jamani mkiwa mnaanzisha thread muwe mnachagua HEADING.
Yaani hiyo heading utadhani wanaJF wote ni wanafunzi wa IFM!!!
"mtihani umeahirishwa"
 
Kunguru mwoga...:............................. Next week siyo mbali sijui mtagoma tena.
Kizazi kipya na yo yo kibaaaaaaao
 
hawa wajiandae kweli kweli.maana hzo final zitakuwa final kweli.paper zao zitacmama saana lazima
 
Back
Top Bottom