Breaking news-mbunge wa ruangwa afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news-mbunge wa ruangwa afariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JS, Nov 2, 2009.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  MBUNGE WA RUANGWA KWA TIKETI YA CCM MH. SIGFRID NG'ITU (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA TAASISI YA MIFUPA YA HOSPITALI YA MUHIMBILI (MOI) ALIKOKUWA AMELAZWA TOKA SEPTEMBA 14, MWAKA HUU AKITIBIWA KIHARUSI KUFUATIA KUPASUKA MISHIPA YA DAMU KICHWANI.

  AKITANGAZA HAYO MUDA MFUPI ULIOPITA, SPIKA WA BUNGE MH. SAMWEL SITTA AMEAHIRISHA KIKAO KILICHOKUWA KIENDELEE LEO BUNGENI DODOMA HADI KESHO SAA TATU ASUBUHI KWA HESHIMA YA MAREHEMU.

   
Loading...