King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,589
Umofia kwenu wana JF,
Mh Laigwanan Edward Ngoyai Lowassa,mtangaza nia kupitia CCM, leo amepita mitaa ya Dodoma mjini akitokea airport. Ndio mara yangu ya kwanza kumuona akipita njia hii.