hahahaha..amejuaje?? mi nilimtonya kidogo mgao aweke supagluu kusiwe na viatu vya makobazi hayo yeye kang'ang'aniiiia kama hawezi kupaka rangi...sasa wee hujulizi bosi na gunia wapi na wapi?? si bora atafute kandambili tu kuliko kuongea kidhungu...!!