Breaking News:Kizaazaa Kibaha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News:Kizaazaa Kibaha...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Aug 24, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ni kizaazaa. Katika Barabara ya Morogoro sehemu ya Kongowe hadi Misugusugu. Kuna foleni ya ajabu sana. Inasababishwa na ukaguzi wa TRA kwa malosi eneo la Misugusugu.Magari yanalazimika kupita barabara mbovu ya zamani. Basi la BM lililotoka Dar kwenda Moro saa 12 limekwama. Nusura lipinduke kwa kuingia korongoni. Ni hatari. Nipo hapahapa kuelekea nyumbani..
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  poleni, tunawaombea mfike.
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu. Wote humu ndani ya basi tunasali...
   
 4. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  sio ukaguzi wa tra bali kuna mtu mmoja mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30-35 amegongwa na gari na kufariki papo hapo hali iliyopelekea wananch wa maeneo ya kongowe kuweka magogo kuzuia magari yasipite hadi mwili wa marehemu utakapoondolewa eneo la tukio. wanausalama walifanikiwa kuondoa maiti hiyo kilichofuatia ni kuondoa magogo. sijui kinachoendelea eneo la tukio kwani nimeshajimuvishisha eneo lingine.
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Poleni kwa usumbufu huo wakuu. Sijui ajali zitaisha lini Tanzania au hata kupungua tu maana kumalizika si rahisi.
   
 6. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  sa hiyo ndo habari mvunjiko????
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Poleni sana, tunawaombea mfike salama.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  TRA leo walikua kila mahala dsm sijui walikua wanakagua nini kwenye magari?
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,278
  Likes Received: 12,991
  Trophy Points: 280
  wanakagua zile sticker zao maana siku wakitumwa na wakubwa zao wakakusanye hela hawa tra,trafic police,tigo,fire utajuta barabarani kama gari yako mbovu
   
 10. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ujue mishahara ya walimu haitoshi mana mwisho wa mwezi huu na dhaifu anaogopa walimu wakizimua ule mgomo
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ajali zitaisha vipi wakati hakuna elimu ya Usalama Barabarani kwa watembea kwa miguu,waendesha baiskeli,mikokoteni,pikipiki,bajaj na madereva vimeo kibao! Watu wanafanya biashara ndogo barabarani. Barabara zenyewe ni finyu,hakuna anayejali unatarajia nini? Serikali badala ya kuchukua hatua sitahiki inazidi kujaza matuta ktk barabara kuu,na kuondoa hata maana ya kujengwa barabara za lami.
   
 12. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Namshukuru Mungu nilifika salama. Kwa muda niliofika,sikuweza hata kuingia tena JF. Nilifikia kulala...
   
 13. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 593
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Sensa haikuliona hili mapema?
   
Loading...