sosoliso sasa Lady doctor alikuwa anabisha nini wakati ushahidi dhahiri huu hapa.View attachment 101325
Kasheshe ilianzia hapa Bishanga.. Arushaone alijipapasa hakuona kitu.. Lady doctor alivyogeuka na kumuuliza nini Arushaone akajifanya ati alikuwa anafunga zipu lol.. Masikini angejua angetoka nduki hapa.. Watu wasingejua kama kifanyio chake kimefyekwa..
Bishanga Bishanga Bishanga...... Hakika ndoa yangu na Lady doctor iko imara na dhakari ipo imara kama CHADEMA........Peoples..............Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Lady doctor best yangu nilidhani utakua na fungate ya nguvu kumbe mwanaume mwenyewe hana kikojoleo pole sana ndo mana mnashauriwa mchunguliane kwanza kabla ya ndoa ona ss yaliyokukutaBy Elizabethdominic senior correspondent jf udaku.
Ndoa ya Arushaone na Lady doctor yavunjika usiku wa manane.
Ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na majigambo kati ya fisadi papa Arushaone na former miss temeke Lady doctor imesambaratika jumla.Ilikuwa hivi:
Baada ya kuingia chumbani baada ya shamra shamra Arushaone alianza kulia 'kulikoni?' Akaulizwa na bi harusi, 'sina kikojoleo' akajibu bwana harusi, 'what,unantania,embu vua nione', akavua kweli kuna katobo tu,' ' what happened? Akauliza Lady doctor. Ngoja nikwambie ukweli mke wangu,akasema Arushaone, ' kipindi kile nimemwacha sweetlady kwa hasira aliniendea nanjilinji matokeo yake alikuja panya akaninyofoa dushelele ndo nikabakia hivi" Kusikia hivo Lady doctor hakuwa na la ziada zaidi ya kupakia begi na kutokomea,asubuhi kaonekana ngaramtoni akiwa na Erickb52 na Nicas Mtei wanafakamia thubu.
Habari zaidi tukishamhoji Arushaone
Cc: Baba V ....futa hii ndoa kwenye daftari
Una akili sana wewe!
Endeleeni kujidanganyaAhahaa furahisha nafsi
Utaelewa tu ipo sikuNinachokisoma ni comedy au mbona sielewi
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
sema source ya neno unapomnukuu mtu lazima ulipe kodi Bishanga njoo uchukue ushuru
sosoliso sasa Lady doctor alikuwa anabisha nini wakati ushahidi dhahiri huu hapa.
Nashangaa huyu Lady doctor anavyojitahidi kubisha na kumtetea Arushaone wakati yeye ndo chanzo cha yote.. Angekuwa mke bora asingemshangaa na kumkimbia Arushaone..
sosoliso, ndoa yangu na Lady doctor ni imara sana. Tunawashangaa enyi wanadamu msiolala mkitudis.
By Arushaone, mume halali wa Lady doctor.
sosoliso, ndoa yangu na Lady doctor ni imara sana. Tunawashangaa enyi wanadamu msiolala mkitudis.
By Arushaone, mume halali wa Lady doctor.
tena ndio alikua anamtumia loya
aharibu ili kibabu akupate,kaumbuka babu
uke wenza na kina Zahra White utauwezea wapi kama c kulogwa akhaa!!
​sawa honey nimekuelewaaaaaaaah wapi hawa watu wameachana kabisa
​nielekeze kwa huyo muganga shost wangu!!nina muganga mupyaaa mubalaa mutanikoma nakuwambiya
\
miss you my akanana Passion Lady
si mpaka,halafu mganga mwenyewe kesha dead