Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
HAkuna mambo ya Tsunami in Dar es salaam
tujiadhali
HAkuna mambo ya Tsunami in Dar es salaam
tsunami, ya wakati ule uliua afrika mashariki, better to be safe than sorry,
Tetemeko kubwa limepiga leo katika
pwani ya kisiwa cha Sumatra, Indonesia na
kusababisha uwezekano wa kutokea
Tsunami katika Bahari ya Hindi.Tetemeko
hilo limetwanga umbali wa kilomita 430
kutoka Banda Aceh mji mkuu wa jimbo la Aceh nchini Indonesia na lina ukubwa wa
8.7 kwa mujibu wa kituo kinachofuatilia
mienendo ya miamba cha Marekani (U.S
Geological Survey) na limepiga katika kina
cha km 33 chini ya bahari
Kwa mujibu wa kituo cha television cha CNN asubuhi hii kituo cha tahadhari ya
Tsunami cha ukanda wa Pacific kimetoa
tahadhari kwa nchi zote zilizo kando ya
Bahari ya Hindi kujiweka tayari kwa
uwezekano wa Tsunami muda wowote
kuanzia sasa na mamlaka ya Indonesia inayosimamia hali ya hewa,maumbile na
tabia nchi imesema imeshatahadhalisha
wananchi wa nchi hiyo
Umeme umekatika mjini Banda Aceh na
watu wamekuwa wakikimbilia maeneo
yaliyoinuka.Bado haijajulikana hasara iliyopatikana kutokana na mtikisiko huo Nchi zilizotakiwa kujiweka tayari ni
Indonesia, India, Sri Lanka, Australia,
Myanmar, Thailand, Maldives, British Indean
Ocean territories, Malaysia, Mauritius,
Reunion, Seychelles, Pakistan, Somalia,
Oman, Madagascar, Iran, Uae, Yemen, Comores, Bangladesh, TANZANIA,
Mozambique, Kenya, Crozet Islands,
Kerguelen Islands, South Africa,
Singapo