Nimesoma sasa hivi NY Times wanasema ile risasi jamaa aliikwepa kwa kuinamisha kichwa. Ilipomkosa risasi iligonga ukuta. NY Times vile vile wanadai eti Gbagbo saa hii anaelekea Loliondo kukutana na Babu kupata ushauri wa dawa ya kuweza kuishi milele. Ninaifuatilia hii stori ya kusisimua na nitawafahamisha pindi zitakapotokea updates zozote!
.