Mchakamchaka chinja ali selema alija!! Hiyo ndiyo kuelimika zaidi maana ukiona dhuruma inatendeka na umesoma huchukui hatua yoyote elimu haijakusaidia. Kwa hali hiyo elimu imewasaidia kwa kuwa wametambua uozo wa viongozi wao.
Ni haki yao kuidai maana wakimaliza huko watakuja kukutana na 8% watakazokatwa kwenye mishahara yao bila zengwe. Kwa nini Bodi watoe pesa kwa zengwe wakati kukata wanachukua kiulaini?