Breaking news: Baada ya Mbunge kuuawa chama tawala hakitashiriki uchaguzi wa marudio.

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
335
Katika kumuenzi Mbunge aliye uawa jana Jo Cox wa Labour, chama cha Conservative kimesewa hawatashiriki uchaguzi wa marudio ili kumuenzi Mbunge wa LABOUR aliyeuawa hapo jana kwa kupigwa risasi na kuchomwa kisu.

NB: Hiyo ndo demokrasia ya kweli

The Tories will not fight the by-election to fill Jo Cox's seat as a 'mark of respect' to the murdered MP's 'extraordinary public service'
  • MailOnline understands Conservative Party has decided not to fight seat
  • Shapps earlier said an unopposed by-election in Batley and Spen would be a tribute to Mrs Cox's 'extraordinary public service'
  • A motion to fill Mrs Cox's Batley and Spen seat will be moved by Labour in the House of Commons in the weeks after the referendum
  • By-elections are generally hotly contested by the main political parties
Source mail online na BBC News live.
 
KWETU LO JANA HIYO HIYO WATU WANGELIKWENDA KWA WAGANGA NA VYAMA VINGELIKUWA TAYARI KWA VIKAO NANI AGOBEE! NJAA
 
Why CCM denied to apply this to the late beloved DEO HAULE. May God rest his heart in everlasting peace. Amen
 
Mkuu nimeipenda hii demokrasia ya kweli, jinsi chama tawala kuwaachia wapinzani jimbo. Hii sidhani kama inaweza kutokea kwenye nchi zetu za Afrika.
 
Why CCM denied to apply this to the late beloved DEO HAULE. May God rest his heart in everlasting peace. Amen
Yaani hata hauna point,huyu mbunge wa Uingereza alikuwa chama pinzani cha labour,hivyo chama tawala kimesema hakitaweka mgombea,Deo alikuwa mbunge wa chama tawala,in that case chama pinzani kilitakiwa kisiweke mgombea
 
Ila kwa sasa inatisha...uwe mbunge wa mlengo gani maana ukiendeleza aloanzisha marehemu ukawii na wewe ku RIP
 
CCM mnahangaika Sana Kama mna ubavu mpeni baba jessca uenyekiti.
Yaani hata hauna point,huyu mbunge wa Uingereza alikuwa chama pinzani cha labour,hivyo chama tawala kimesema hakitaweka mgombea,Deo alikuwa mbunge wa chama tawala,in that case chama pinzani kilitakiwa kisiweke mgombea
 
Kuna chama huku kwetu (Nchi ya ahadi) akifa mbunge, watoto wa mbunge wanafurahi mana hiyo ni nafasi ya familia, mfano kuna mji wetu unaitwa Tangamo, Ulangani, Iringani, Arumeruni japo kule tuliangikia pua.
 
Arumeruni hatukutaka kuendeleza ujinga! shaaah tukamchinja mtu!
 
Katika kumuenzi Mbunge aliye uawa jana Jo Cox wa Labour, chama cha Conservative kimesewa hawatashiriki uchaguzi wa marudio ili kumuenzi Mbunge wa LABOUR aliyeuawa hapo jana kwa kupigwa risasi na kuchomwa kisu.

NB: Hiyo ndo demokrasia ya kweli

The Tories will not fight the by-election to fill Jo Cox's seat as a 'mark of respect' to the murdered MP's 'extraordinary public service'
  • MailOnline understands Conservative Party has decided not to fight seat
  • Shapps earlier said an unopposed by-election in Batley and Spen would be a tribute to Mrs Cox's 'extraordinary public service'
  • A motion to fill Mrs Cox's Batley and Spen seat will be moved by Labour in the House of Commons in the weeks after the referendum
  • By-elections are generally hotly contested by the main political parties
Source mail online na BBC News live.

Hakuna demokrasia hapo, hiyo yote ni kuwadanganya watu kama ninyi msioelewa mambo na jinsi Dunia inavyokwenda!

Ni hivi nchi ya Uingereza karibia inapiga kura ya maoni itakayoamua kama wawe sehemu ya Umoja wa Ulaya au la, sasa Serikali na maelite wote wanataka kubakia Umoja wa Ulaya lkn wananchi wa Uingereza hawataki na mpaka sasa hvi kura za maoni zinaonyesha kwamba wanaotaka Uingereza ijitoe ni wengi kwa 10% hivyo ni habari mbaya kwa maestablishment ambao wanataka nchi hiyo ya Uingereza ibakie na huyo mama Mbunge aliyeuwawa alikuwa anataka Uingereza ibakie kwenye EU!

Sasa kuna kila dalili kwamba baada ya kuuliwa kwa huyo Mbunge aidha kura ya maoni kuahirishwa au kampeni kusimamishwa!

Hivyo usidanganywe kirahisi namna hiyo huyo mama katolewa kafala na maelite kwa maana wananchi tayari wameshakataa kubakia sehemu ya umoja wa Ulaya (EU)!

Wazungu ni wasanii na mafia klk unavyodhania huyo mama wamemuondoa tu ili kuweka mazingira ya kuibakiza Uingereza kwenye EU kwa maana kinyume na hapo wananchi wanagoma ...
 
mbona hueleweki mkuu? au ukijani ushaathiri ubongo?
 
The rationale of not contesting the seat is based on the fact that the murderer motive was hatred towards the MP views on EU.

Kwasababu wao wanajua siasa ziko based on opposing view na kueshimu mawazo kinzani kutogembea hilo jimbo ni symbol ya aina ya siasa na ushabiki ambao wanasiasa wa pande zote awazikubali jamii kuchukiana kwa sababu za kupishana.

Sio jimbo tu limeachwa na out campaign upande wa pili wa hoja za EU wamezima campaign tangia jana katikati wakiwa njiani kwa heshima yake.

Waingereza wanajua kujenga jamii ya umoja sio kama sisi; mzungu muache tu.
 
Back
Top Bottom