Hayawi hayawi sasa yamekua hatimaye wizara ya afya wamebandika majina ya waliochaguliwa katika makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo AKIBA kwa wale wa DSM NB:Kwenye mtandao bado hawaja upload

Moh hawawezi kubandika post za waliochaguliwa kabla hawaja upload mtandaoni..makao makuu ya wizara ya afya hayako akiba bali yako shaaban robert street opposite na chuo cha i.f.m kuweni na uhakika na taarifa mzitoazo.