Breaking new: Prof Mahalu ashinda kesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking new: Prof Mahalu ashinda kesi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Wikiliki, Aug 9, 2012.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana jf prof. Mahalu ameshinda ile kesi yake iliyokuwa inamkabidhi mara baada ya kusoma leo.
   
 2. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Bwana Benjamin Mkapa alisema taratibu zilifatwa....na Kikwete ivo ivo ..Yaani ukiona Umefungwa na serikali hii ujue we Maskini wa mwisho

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 3. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Ningefurahi kama Kikwete angetinga mahakamani kutoa ushahidi wake, tujue alikuwa upande gani wa kumtetea Mahalu au wa kumpinga kwa kuwa yeye alikuwa balozi wa nchi za nje kipindi ambacho Mahalu alikuwa balozi Italy.
   
 4. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mkuu Kikwete alishasema?
   
 5. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Ama kweli hawa jamaa wanajua kuchezea akili zetu... Wamepoteza muda na hela za serikali kwa matokeo ya kipuuzi namna hii, hivi serikali haina wanasheria makini? Mbona inashindwa shindwa tu kizembe namna hii? Hivi kulikuwa na umuhimu gani wa kukomaa na hii kesi?
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Walivyo na mambo ya ajabu watakata rufaa...
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Anguko la Rais Kikwete na PCCB
   
 8. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mbwembwe za Rais Jk na pccb za kupereka watumiwa mahakamani zimeishia hapo
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Kumbe haki ya mtu ni upuuzi?
   
 10. f

  filonos JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  sasa wewe kaibe NYAU kama hatukuku sahau jela
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kiini macho tanzania. this kantryi bwana kwa kweli imelaaniwa
  wezi wa kuku na vidagaa wanaozea selo lakini mapapa yanapeta tu.
   
 12. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Mbona wengine mnatoa hukumu zenu!? Inaonekana mlitaka Prof Mahalu ashindwe hata kama hana hatia?
  Muacheni apumue jama!
  Kwani serikali iliyompeleka mahakani c inaongozwa na walewale waliokuwepo kipindi hayo makosa yakifanyika? Wao wanaujua ukweli.
  Kinachouma ni pesa zetu zilizotumika maana hata angepatikana na hatia angefungwa na c kurudisha hicho wanachodai amesababisha hasara (refer to Liyumba)
   
 13. masharubu

  masharubu Senior Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nani analipa gharama za kesi hii?
   
 14. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [h=3]Balozi Mahalu ashinda kesi[/h]
  THURSDAY, AUGUST 09, 2012 FATHER KIDEVU NO COMMENTS
  [​IMG]
  Balozi Profesa Mahalu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kushinda kesi yake katika mahakama ya kisutu leo. PICHA NA FULLSHANGWEBLOG
  [​IMG]Waandishi wa habari wakimfuata Balozi Profesa Mahalu akiwa pamoja na Mdogo wake Mirasi Rama wakitoka nje ya Mahakama ya Kisutu Mchana huu mara baada ya kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili akidaiwa kununua nyumba ya Ubalozi wa Tanzania nchini Italia, Akisoma hukumu iliyosomwa kuanzia Saa sita leo na Hakimu Mfawidhi mkazi wa mahakama ya Kisutu Mh. Ilivin Mugeta imemtoa Balozi Profesa Mahalu katika hatia na kumwachia huru

  [​IMG]
  Wakili wa Balozi Profesa Mahalu Bw. Alex Mgongolwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mteja wake kushinda kesili iliyokuwa ikimkabili kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam.
  [​IMG]
  Balozi Profesa Mahalu katikati akitoka nje ya mahaka ya Kisutu huku akiwa ameongozana na mdogo wake Mirasi Rama kulia ni Wakili wa kujitegemea Mabere Nyaucho Marando.

  Posted in:
   
 15. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,828
  Likes Received: 4,198
  Trophy Points: 280
  Kesi zote za ubadhilifu wa mali ya umma uwa ni danganya toto, ningeshangaa km angeshindwa kesi!
   
 16. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mkuu acha tu maana kinachofata atalipwa mabilioni kama fidia .
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mabere marando bwana!!!
   
 18. M

  MLETAHOJA Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mazingaombwe yamekataa. Serikali ingeshinda ingesaidia sana kuonekana kama inayopinga dhuluma na ubadhirifu wa mali ya umma. Sijui kwa nini hawakujipanga ili kuhakikisha wanashinda. Hii ni serikali ya wasanii kweli kweli. Iliwezekanaje Raisi aliyepo madarakani amfungulie mashitaka mfanyakazi wake na Raisi aliyempokea aje kumtete? Hawakuwasiliana kuwa huyo hana hatia? Sasa huyu katoka na wengine wataendelea kutoka tu maana ki msingi si kweli kuwa serikali ina nia ya dhati ya kupambna na ufisadi. Ni mazingaombwe tu. Kazi tunayo.
   
Loading...