Uzi tayari
Sisi ndio tuhusika wakati homa ya Breakdance inapamba moto miaka ya 80, lakini naona bado kuna washabiki mpaka leoUzi tayari
Ni "There's no stopping us"Ollie ft Jerry - There's no can't stop us
Kulikuwa na Shabba Doo who's no more na Boogaloo Shrimp ambaye ni huyo black anaecheza na mfagio. Ilikuwa hatari.