Breakfast yangu ya mchana

Haha, eti krwichuu, unaonekana una ufundi nao maana siyo kwa hiyo 'eksipiriensi'..!!
u bachela noma sana

kuna siku una hamu ya wali samaki then ukiangalia mfukoni una 1500

akili inawaza weeeeeee Jibu la mwisho linaenda kwa hao jamaa Fungu buku tu

unarudi unafanya yako,SweetieLee ukinpgia simu uniulize nakula nini

nakujibu leo nakula WALI SAMAKI kumbe nakula wali miba
 
Karibuni mapishi ya kibaria View attachment 1240989
Wewe mchana unapata "Breakfast" na usiku unapata "lunch" nayo ni maendeleo; mkimaliza kusomesha huo uliyemsomesha kama hatakukataa atakufafanulia mlo wa asubuhi unaitwaje; wa mchana unaitwaje na wa jioni unaitwaje. Tena kama utamsomesha mpaka chuo kikuu atakufundisha wakati wa mlo unachoanza nacho kinaitwaje na baada ya mlo unachomalizia nacho kinaitwaje.
 
Asubuh sikula kwa iyo. iyo kwangu ilikua breakfast
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…