Asante sana miongonii mwa watu umeniifurahisha wew mmoja wapo siku ya leo maana nilikuwa modless! I wish kila siku walau ungepost tusingeona Cv threas za watu ambao wanatafuta umaarufu waliokosa nje ya JF! Last i wish if i could be there! Ubariikiwe sana!
Rusha picha zako ukitumia mashine hiyo waone kabla ya kununua kuwavutia wateja zaidi, sababu picha nyingi hapo nimeshawahi kuziona mtandaoni kama sio zote.