Breakfast Time

Breakfast Time

hahahaa,
Hapo ukinywa na maji. Ukitembea unakuwa unasikia maji yanavyopishana na vipande vya mihogo tumboni
 
Sio siri nimepata njaa ya ghafla
Dah upate na juice baridi.
 
Hivi kwa nini mnatudharau kiasi hiki aisee?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usipaniki mi natania tu kuchangamsha uzi
 
Back
Top Bottom