Breakfast kigetogeto....!!!!

Hahaha, jf kuna watu wana majungu Hahahahahahaha
 
Mkuu unajua sana kupika ndo maana mashemeji wanakimbia, hutakiwi ujue kupika kiasi hicho
 
Yebaaaaaaaa
 
Sasa hivyo vipande vya tikiti na ovakado ikausu nini? Kuweka juu ya chapati na huku pembeni hapo naona sahani ya vipande vingine
 
Sasa hivyo vipande vya tikiti na ovakado ikausu nini? Kuweka juu ya chapati na huku pembeni hapo naona sahani ya vipande vingine
Mkuu hua navimix natafuna kama baga
 
Sijaona tofauti ya mkate na chapati mkuu!
 
Mbona mchuzi wa Thupu umejipunja???
Halafu nyama kidooogo au ndo na za mboga mchana?
Any way enjoy ur meal,,,Tchaoooo
Gongea na selfiee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…