Ndiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi!
Ndiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi! Kupika najua tena saana tu...ila siwezi kufanya
Nipo tofauti na mapenzi ya hivi.