Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Aaaaaaah -KANA- weeeee. Yani navyopenda raha jamani teh, kukaa na mwanaume mwinyi nafwaaaazKwanini uue?
Mkuu, haya mambo ni habits zinazojijenga kidogo kidogo mpaka zinakua sehemu ya maisha. Binafsi hua naipata furaha yangu kwa kufanya wale walio karibu na mimi wafurahi.
Back in days, nilikua naingia jikoni napika msosi wa familia nzima. Meanwhile, dadaangu anakua ameshika remote anaangalia tamthilia. Furaha yake haikua na kipimo.
Kama mwanamke akiamua kukucheat atakucheat whether you care for her or not. Good thing ni kwamba unafanya haya cause it's your habit, na sio kumzuia asichepuke!
It is an art of being good without expecting any payback!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Ndo unanikataa kiujanja au?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tafuta mpemba, hata sokoni ataenda yeye!
Hata sikua na habari kama nimedondokewa!Ndo unanikataa kiujanja au?
Hata sikua na habari kama nimedondokewa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bed breakfast, then uelekeo shambani jembe la mkono. Are you ready?Now you know, so please just do the needful
Hahhaha aiseee na hiyo breakfast nimeghairi mweehBed breakfast, then uelekeo shambani jembe la mkono. Are you ready?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaha aiseee na hiyo breakfast nimeghairi mweeh
Ni sawa tu as long as "ofisini" unaenda mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mkulima.
Not fair!Ni sawa tu as long as "ofisini" unaenda mwenyewe
Hahahaha, aseee hapo sidhani km inahitajika VARWatu na bahati zenu.... mtu chake hapa kunahitajika VAR?
Sawa kabisa na mimi sikuwezi.Okay sikuchukui
Mkuu ushampiga chenga kipa hapo ,tena ndani ya sita ,unapasia nyavu tuHii ni kwa nyie akina Roberto Lewandowski, ila sisi akina Haruna Moshi Boban sio saiz yetu, rahisi kupaisha!
Wangapi tunaweza kufanya hivi?View attachment 861035
Kabisa mkuu, unaweza kufanya kila mbwembwe lakini mtu anachukulia kawaida.. Inapunguza hamasaWengi wanaweza fanya hivyo, sema sasa mpokeaji kama hawesi ona dhamani ya jambo hilo ni bure tu
Umesahau alichofanya lukaku juzi kati?Mkuu ushampiga chenga kipa hapo ,tena ndani ya sita ,unapasia nyavu tu