Breakfast ideas

Breakfast ideas



images

 
Kuna uji flani unaitwa 'mtamu', huo alinipa addiction Wifi yangu wa Maisha AshaDii.
Kaka Kaizer Nimekumisi mno. Jana tulitumia kutwa nzima na Wifi, na alivyo kipenzi alinibebea vitumbua vitamu Kweli Kweli. Ninavyompenda, hata havielezeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale manyanya kuna mgahawa flani una vitumbua vitamu mpk basii. Nikipita hata saa 9 mchana pee lazima ninywe chai pale kama kuna vitumbua.
 
Back
Top Bottom