Brazil 'kuchafuka' punde

huyu jamaa msameheni ni miogoni mwa watu walioathirika na kichapo hicho.
 
Mie nilifurahi mno jana, sikutaka kabisa hawa wash..zi washinde.
 
kuna tetesi kuwa ile mechi tulikuwa tunachezeshewa play station, kuna mchina alihack tv broadcast zote, hivyo fifa watafanya press conference leo kuipa dunia matokeo sahihi ya mechi.

That was very uncharacteristic of Brasil.

Defense yao wala haikufanya juhudi zozote kuwakaba washambuliaji wa Ujerumani.

Hata Wajerumani wenyewe hawaamini kilichotokea!
 
Its just football mbona Arsenal ilifungwa 8, 6
 
Ni ajabu timu kumbe ilikuwa imebebwa na mtu mmoja;

Wapo wapi hawa wachezaji maarufu?
Si mngekuwa hata hapo uwanjani kutia hamasa?




Na huu ndi ukweli,, kuna timu nyingi tu zina wachezaji wakongwe, hii inasaidia motivation ya wachezaji wachanga Gaucho bado ni mchezaji mzuri nadhani angeweza kutumika kuwamotivate hawa wengine but shits hapen!!
 
Kwi kwi kwi kwi...Jana wachezaji wote wa Brazil walikuwa kama wamewehuka uwanjani....Niliwaonea huruma sana..

Tuombe Munguargentina wasipatwe na majanga kama ya Ndugu zao Brazil..

Argentina hawawezi kupatwa na majanga kama haya kutoka na formation yao licha ya kua de maria hatokuwepo
 
Na huu ndi ukweli,, kuna timu nyingi tu zina wachezaji wakongwe, hii inasaidia motivation ya wachezaji wachanga Gaucho bado ni mchezaji mzuri nadhani angeweza kutumika kuwamotivate hawa wengine but shits hapen!!

Mkuu, hata hao "wachanga" Scolari aliowachagua bado kaacha vifaa vingine vizuri tu. Hivi kwa mfano yule mtoto Coutinho wa Liverpool unaweza kumwacha kwenye line-up badala yake ukawaweka Fernandinho au Paulinho???

Scolari alidhani "msuli" unaweza kubeba world cup badala ya "kichwa" tulichokizoea kwa Brazil miaka yote!

Aibu hii FA ya Brazil imeitengeneza yenyewe....
 

Ki ukweli Scolari amefanya makosa mengi na hii ndio ilikuwa adhabu yake,, yaani kwa mechi ya jana mchezaji wa Brazil alionekana ni Marcelo tu.
 

Ngoja tuone leo kama Argentina itaweza kumanage bila Di Maria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…