believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
tunajipamba tunaweza kuzifunga morocco , ivory coast ili tushiriki kombe la dunia nchini brazil 2014,ndio tunaweza kufanya ivo lkn nadhan hatupaswi kushirik tunapaswa kushindana na il tuweze kushirik lazima tujiandae,tuunde football academy za watoto klabu ziwe na academy,kuwe mipango ya muda mref,hakika tutashiriki na tutapambana lkn hizi kampeni za tia maj tia maj.