prospa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 554
- 157
Kuna jamaa alimtoa auti demu flani skuli inapanda kimtindo sasa wakiwa wamekaa kwenye meza mazungumzo yakaanza
WAITER: Nikuleteen nini waheshimiwa
JAMAA: jamaa kujifanya naye kimombo kimo akadakia mi niletee chipsi yai na kachumbali, tomato, chachandu. comfusi comfusi, makilakitu humohumo kasoro sumu tu
DEMU: Kicheko na mimi ikabidi nisepe maana niljikuta nacheka kwa sauti kubwa